Simamia Biashara Yako kwa usimamizi mzuri na hodari kwa Gharama nafuu

UWANJA BORA WA MAUZO,Usimamizi wa Stoo,Utoaji wa Invoice na Qoutation kwa ubora wa biashara yako.

Home | BIASHARA YANGU

Tunatazamia Kukuza biashara Yako kwa spidi ya ajaabu

Ukuaji wa Biashara haukuwahi kuwa rahisi kabisa.

Na ndio maana tumetengeneza mfumo huu wa kibiashara kwa ajili ya kukuza biashara yako.

Njia rahisi na rafiki ya kusimamia biashara yako ipo kiganjani mwako ukiwa na mfumo na mfumo wetu wa usimamizi wa biashara yako.

Mfumo sahihi na rahisi ambao ukiwa nao utaweza kufanya mapinduzi ya ukuaji wa biashara yako.

Tumia Ukiwa mahala popote

Umbali usiwe tatizo au kikwazo ili kuifikia biashara yako.Tumia ukiwa mahali popote bila kikwazo chochote

Hakuna haja ya installation

Haiitaji technician wala mtaalamu ili kutumia mfumo huu.

Fikia matawi yako yote ya biashara kwa Pamoja

Simamia stoo mbalimbali kwa mara moja.

Amua mipaka ya watumiaji wa mfumo.

Utaweza kuamua Staff nini waone au wafanye yaani panga majukumu yako kwa urahisi vile uwezavyo.

Usimamizi wa Bidhaa

Simamia bidhaa na utaweza kuepuka hasara mbalimbali na nini ukiuze na nini usikiuze.

Simamia huduma mbalimbali kama Ufundi,Pharmacy na nyingine nyingi.

Simamia huduma mbalimbali kwa urahisi na bila mashaka ukiwa umerelax.

Usimamizi wa Rasilimali watu (HR)

Simamia biashara zako kwa wepesi pasipo na changamoto yoyote ile simamia timu mbalimbali za kazi na uziweke malengo kadri ya vile upendavyo.

Usimamizi wa wateja.

Jisikie huru kusimamia wateja wako wote na historia zao. Tambua wateja na ujenge imani na biashara ya kudumu kupitia mfumo huu.

Simplified Interface

Simple to use interface to get work done in few clicks. Save your time & make it easy for staffs to use.

Ripoti.

Mfumo huu unakuja ukiwa umeunganisha na ripoti mbalimbali na kamili kwa ajili yako.

Tupo tayari kwa ajili ya biashara yako!

Ikiwa unahitaji mfumo wa usimamizi kwa ajili ya biashara yako basi usijali upo pahala sahihi kabisa. 

Tuna muundo safi na wa kisasa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya biashara yako!

Ghala lako

Je, unatafuta mfumo wa kisasa unaoweza kukusaidia kusimamia biashara yako na kuuza bidhaa zako zote muhimu sehemu moja? Usitafute tena. Mfumo wetu wa Departmental Store umeundwa kukusaidia kusimamia na kuuza aina mbalimbali za bidhaa kwa urahisi, zikiwemo nguo, viatu, mabegi, pamoja na bidhaa nyingine nyingi. Mfumo huu una muonekano rahisi na unaoeleweka, hivyo unaweza kuanza kuutumia na kufanya mauzo mara moja bila usumbufu. Iwe biashara yako ni ndogo, ya kati au kubwa, mfumo huu utakusaidia kuongeza ufanisi, kurahisisha usimamizi wa bidhaa na kuboresha huduma kwa wateja. Usisubiri tena. Anza kutumia mfumo wetu leo na upeleke biashara yako kwenye kiwango kinachofuata!

Jumla na Rejareja

Simamia kwa urahisi maduka ya rejareja na jumla kupitia mfumo mmoja wenye uwezo wa kutosha kukidhi mahitaji ya biashara yako. Weka bei tofauti kulingana na aina ya mteja (mfano, wateja wa jumla na wa rejareja) au matawi tofauti ya biashara, ili uweze kuuza kwa usahihi na kwa ufanisi zaidi. Mfumo huu hukupa udhibiti kamili wa bei, bidhaa na mauzo, hivyo kufanya usimamizi wa biashara yako kuwa rahisi, wa haraka na wenye tija zaidi.

Pharmacy

Mfumo wetu ni suluhisho bora kwa maduka ya dawa (Pharmacy), kampuni za dawa na biashara nyingine zinazoshughulika na bidhaa zenye muda wa matumizi. Unaweza kuweka na kusimamia kwa urahisi tarehe za mwisho wa matumizi (Expiry Dates), namba za loti (Lot Numbers), pamoja na kuuza bidhaa kwa vipimo tofauti kama vile boksi, pakiti, chupa, katoni au kipande. Mfumo huu pia hukusaidia kuzuia kabisa uuzaji wa bidhaa zilizokwisha muda wake wa matumizi au zinazokaribia kuisha muda, hivyo kulinda biashara yako na kuhakikisha wateja wanapata bidhaa salama na zenye ubora. Aidha, utapata taarifa na ripoti za kina kuhusu bidhaa zinazokaribia kuisha muda wa matumizi au zilizoisha, zikiwa zimepangwa kwa namba za loti, ili kurahisisha ufuatiliaji wa stoo na kufanya maamuzi sahihi kwa wakati.

Maduka ya Vinywaji

Mfumo huu ni rahisi kutumia kwa maduka yote ya vileo na vinywaji. Unaweza kuuza bidhaa kwa mililita (ml), glasi, shoti, au chupa nzima, kulingana na mahitaji ya biashara yako. Mfumo hukuwezesha kusimamia kwa urahisi mauzo, stoo na vipimo mbalimbali vya bidhaa bila usumbufu. Kwa muundo wake rahisi na wenye ufanisi, unaweza kufuatilia bidhaa, kudhibiti stoo na kuhudumia wateja kwa haraka, hivyo kuongeza usahihi na ufanisi wa biashara yako kila siku.

Mobile & Electronics

Rekodi na simamia namba za utambulisho (Serial Numbers) za bidhaa zako kwa urahisi. Mfumo huu unakuwezesha kuhifadhi Serial Number ya kila bidhaa iliyopo stoo na kuuza bidhaa kwa kutumia Serial Number husika, hivyo kuhakikisha kila kifaa kinachouzwa kinafuatiliwa kwa usahihi. Hii ni muhimu kwa biashara zinazouza simu, kompyuta, vifaa vya elektroniki na bidhaa nyingine zenye namba za utambulisho, kwani hurahisisha usimamizi wa stoo, ufuatiliaji wa dhamana (Warranty), pamoja na huduma za baada ya mauzo.

Vituo vya matengenezo na Huduma mbalimbali.

Mfumo kamili wenye vipengele vyote muhimu kwa ajili ya kusimamia biashara za matengenezo ya vifaa na huduma za kiufundi. Unda Job Sheet kwa urahisi, mpe fundi anayehusika kazi husika, fuatilia hatua za matengenezo kuanzia kupokea kifaa hadi kukikabidhi kwa mteja, na badilisha Job Sheet kuwa ankara (Invoice) kwa mbofyo mmoja. Mfumo pia humwezesha mteja kupata kiungo maalum (Self-Service Link) cha kufuatilia maendeleo ya matengenezo ya kifaa chake wakati wowote, bila kupiga simu au kufika dukani. Kwa kutumia mfumo huu utaweza: Kusimamia kazi za mafundi kwa ufanisi. Kufuatilia hali ya kila matengenezo kwa wakati halisi. Kubadilisha Job Sheet kuwa ankara kwa urahisi. Kuwapa wateja uwezo wa kufuatilia maendeleo ya matengenezo yao mtandaoni. Kuboresha huduma kwa wateja na kuongeza uaminifu wa biashara yako.

POS's Stats & Numbers

More & More businesses are adopting our cloud-based business management solution

We have happy customers

What They Says About Us

David Parr

This software has become one of the backbones of our business. It helped us streamline the data of all our warehouses & shops on one platform. I am not much of a techy guy but the admin panel also allows you to customize every aspect of the application.

All the reports help me to give an overview of different aspects of our business.

It is very powerful!

James Mgando

Mfumo huu umekuwa suluhu kwangu asante sana Biasharayangu Software kwa huduma hii nzuri. 

Krishna Watt

We have used this for 9 months now. It has helped our business grow by leaps and bounds. The interface and its simplicity have made it easy for us to learn and get familiar with. The best thing about this software is that it is cloud-based and we can use it from our shop, warehouse, or mobile while traveling. I can also see its potential as we continue to grow. Highly Satisfied!

Automate your business Today.

Talk to one of our product experts. We’re here to help you get started for your business.

Frequently Asked Questions

Why should we switch to cloud-based business management software compared to traditional desktop software?

Cloud-based software provides you a low-cost, secure & mobile software solutions. Compared to traditional software that requires it to install on a computer - cloud-based can be accessed from anywhere without any hardware dependency.

How secure is my business data?

All data are stored in our centralized database which is highly protected with multi-layers of privileges. We takes regular frequency interval automated backup to protect from any unwanted consequences.

Whom should I reach out to in case of any problems?

Please contact our support, write us in the contact section or call to the number mentioned. You're assured to receive a response in a maximum of 24 hours.

Is this POS application Free?

We do provide a free tier for very small business or business that is about to start. To take more advantage of this POS software we recommend that you upgrade to a better plan that unlocks more features.

Do you provide consultancy or implementation solutions for using this POS software?

Yes, with a pro plan you can connect with one of our experts who will help you with implementing the solution for your business.

Are there any additional hardware required or subscription charges?

This is cloud-based software. You'll only need a device with an internet connection & chrome browser. It runs within the browser. No additional hardware is required. But you can use some hardware like barcode scanners, and printers for your convenience to speed up work.


©  2026  BIASHARA YANGU.  All Rights Reserved.